26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Ukerewe yapata gari la zimamoto

zimamoto

Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imepata gari la zimamoto kukabiliana na majanga ya moto  katika wilaya hiyo inayozungukwa na visiwa zaidi ya 30 ndani ya Ziwa Victoria.

Kamishna Msaidizi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, James Mbate, alieleza kwamba gari hilo limetolewa na Serikali ya   Japan kwa lengo la kukabiliana na majanga ya moto yatakapojitokeza ukizingatia jiografia ya wilaya hiyo kuwa na visiwa vingi.

Kamanda alisema  Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe,  Estomih Chang’a na Mkurugenzi wa Halmashauri ya hiyo,  Tumain Shija wameahidi kutoa fedha za kulikamilishia mfumo wa  tanki la maji wa gari hilo haraka iwezekanavyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles