23.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Tutamuunga mkono Rais Samia kwa kushiriki Sensa-Mashabiki Yanga

Wananchi na Mashabiki mbalimbali wa Klabu ya Yanga, wamempongeza na Kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa hatua yake na kuhamasisha Wananchi kushiriki zoezi la Sensa.

Wakiwa katika maeneo mbalimbali ya Uwanja wa Taifa Agosti 6, 2022, katika kusherehekea Kilele cha Wiki ya Wananchi, mashabiki hao wa Yanga, wameonesha utayari wao kushiriki zoezi la Sensa huku wakiwataka wananchi wengine kuitikia wito wa Rais Samia kushiriki Sensa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles