33.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

‘Tingisha’ ya Rhino The Don yaendelea kutamba

Utah, Marekani

Kutoka nchini Marekani, mkali wa Afrobeat na Dancehall, Rhino The Don, ameendelea kutamba kwenye chati mbalimbali za muziki kupitia ngoma yake mpya, Tingisha.

Akizungumzia ngoma hiyo jana, Rhino ambaye tayari ameshadanya kolabo na mastaa wakubwa Bongo kama vile Mr Blue na Shetta, amesema Tingisha inafanya vizuri kwenye Top Ten za Tv na redio Afrika Mashariki.

“Tingisha inafanya vizuri kwenye redio na TV za hapo Afrika Mashariki, huu ni upendo mkubwa kwa mashabiki zangu, bado nahitaji sapoti yao hivyo waendelee kuitazama video ya wimbo huu kwenye chaneli yangu ya YouTube,” amesema Rhino.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles