23.3 C
Dar es Salaam
Sunday, June 16, 2024

Contact us: [email protected]

Soulja Boy kumpigia kura Kanye West

2011 American Music Awards - ArrivalsCALFONIA, Marekani

MSANII wa muziki wa rap nchini Marekani, Deandre Cortez maarufu Soulja Boy, ameweka wazi maamuzi yake ya kumpigia kura ya ndiyo rapa, Kanye West, endapo atafanikiwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha urais mwaka 2020.

Soulja Boy alisema ana imani kubwa na Kanye West na siyo kweli kwamba analipa fadhila mara baada ya Kanye West kumtetea dhidi ya mkongwe wa muziki wa rap, Ice-T alipomponda kwa madai kwamba hajui kurap.

“Nimebahatika kuwa karibu na Kanye West, jamaa ana akili nyingi na mawazo makubwa yanayoweza kulisaidia taifa la Marekani hivyo kama akipitishwa kuwania nafasi cha urais mimi nitampa kura yangu ili afanikishe azma yake,” alieleza Soulja Boy.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles