25.2 C
Dar es Salaam
Monday, April 22, 2024

Contact us: [email protected]

Siti Band kutumbuiza usiku wa Eid Al Faris

NA BRIGHITER MASAKI

Kikundi cha muziki cha The Siti Band kutokea visiwani Zanzibar kusherehesha Eid Al Faris katika hotel ya Serena baada ya kutoka katika visiwa vya Union

Akizungumza na waandishi wa habari muandaaji wa shindano hilo Abdul Mohammed amesema kuwa kikundi hicho kitapamba usiku wa Eid Al Faris usiku wa kesho wakitokea kisiwa cha Union. 

“kutakuwa na wasanii wa burudani wakiwemo Siti bendi pamoja na wasanii wa vichekesho kutokea nchini Kenya ambao ni Nasra Yusuph na Sammy Kioko, wanaofanya onyesho kubwa maarufu kama Church Hill Show from Kenya. 

“Eid Al Faris ni chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya mashabiki wanaopenda kuburudika na burudani ya muziki, Qaswida,”alisema Mohamed

Kwa upande wake Antony Nugasi alisema kuwa chakula hiki cha usiku kinania ya kuburudisha na kufurahisha mashabiki na watu wote wanaopenda burudani ikiwa ni msimu wa kwanza wa tukio hili ambapo wageni watakutana na kubadilisha mawazo katika ukumbi wa Serena Hotel kwa kiingilio cha kawaida sh 5000 za kitanzania kwa kati ni sh 100,000″alisema Nugasi

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles