30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Shamiri na Betway Tanzania

Utangulizi

Linalowavutia wateja kwenye kampuni za ubashiri zaidi ya michezo waliyonayo, ni tuzo na nyongeza. Betway tunafahamu haya kikamilifu na tunakupa bonasi ya Betway kwa Tanzania pindi unapojiandikisha. Hili tu ni la kuanza mahusiano kwani kuna ziada nyingine chungunzima tuzitoazo kwa wateja wetu mara kwa mara.Ziada hii ambayo hukupa nafasi ya kujishindia pesa halisi yaweza kuwa ndio chanzo chako cha kushamiri na Betway Tanzania.

Ziada Zetu

Welcome Bonus

Tunakupa amana ya Tsh 3,000 pindi tu unapofungua akaunti kama mteja mpya. Ziada hii tunakupa hata usipoweka hela zozote kwenye akaunti yako. Una uhuru wa kuitumia kubashiri katika mchezo wowote katika soko letu pana. Kisha upatapo ushindi unaweza kuzitoa hela zako mara moja bila vikwazo.

20x Bet Cashback

Bao la kusawazisha au kunyakua ushindi dakika ya mwisho ni tukio analolichukia kila mshiriki wa ubashiri. Hapa Betway Tanzania tumewasikiliza wateja wet na tukabuni suluhisho. 20x Cashback inakupa mfano wa bima ikufae hili linapotokea. Ili kupata ziada hii, ni lazima uwekee amana matukio angalau sita yenye uwezekano wa 1.5 au zaidi. Hela utakazojishindia ukitumia ziada hii zitafika kwenye akaunti yako chini ya masaa ishirini na manne.Kiwango cha hela utakachopata kitalingana na kiasi cha tuzo katika ubashiri wako wa awali.

Multi – Bet 100% Boost

Wingi wa matukio huzidisha unono wa ushindi, hili litakufarahisha sana. Kila mara unapoteua tukio jipya kwenye orodha yako ya ubashiri yenye matukio kadhaa, tunakutuza nyongeza ya 100%  kwenye ubashiri wako. Hili linafanyika moja kwa moja bila hata bila kuingiza kodi ya mauzo ya Betway.Kigezo kichowekwa tu ni kuwa, lazima matukio unayoyakadiria yawe na uwezekano wa ushindi wa 1.2 au zaidi.

Programu ya Rununu

Kupakua na kuweka programu ya rununu ya Betway ni rahisi sana. Ikiwa rununu yako ni ya Android,utalazimika kubadili mipangilio ya kudhibiti programu za rununu katika simu yako, na kukubali kupata programu kutoka watoa huduma wasiotambulika.Ikiwa unatumia iOS katika simu yako basi hutahitaji kufanya haya. Utakachohitaji ni kuingia kwenye Apple Store. Pale utapata programu yetu tayari kupakuliwa kwenye rununu yako.

Hatua za Kupakulia Ukitumia Simu ya Android

Programu yetu unaweza ukaipakua kutoka tovuti yetu ya Betway Tanzania kwa njia hii:

  1. Badilisha mipangilio ya simu kukubali programu kutoka kwa watoa huduma wasiotambulika.
  2. Fungua tovuti ya rununu ya Betway.
  3. Tafuta kidude cha kupakua ‘Betway App for Android’. Bofya kidude kila na moja kwa moja utaanza kupakua faili aina ya APK kwenye simu yako.
  4. Ukisha kamilisha kupakua, fuata maelekezo ya kuanzilisha pprogramu ile yaliyotolewa.Haya yanafaa kuanza yenyewe pindi tu upakuzi unapokamilika.

Tovuti ya Rununu ya Betway 

Iwapo hutaki kufuata hatua hizi au kupata programu ya rununu kwenye simu yako, unaweza kutumia wavuti wetu wa Betway Tanzania ulioundwa kwa matumizi ya rununu mahsusi.Huhitaji kupakua chochote hapa, kwa kutumia kivinjari chochote , andika anwani yetu Betway Tanzania na utaelekezwa hadi kwenye tovuti yetu. 

Huduma zinazotolewa kwenye tovuti ya tarakilishi, tovuti ya rununu,na programu za Android na iOS ni sawa. Hatubagui yeyote au kumpa zaidi mwingine. 

Msaada kwa Wateja 

Tumejizatiti kukupa wakati wa kuridhisha unapobashiri nasi. Hivyo tuna wahudumu walio tayari kukupa msaada masaa ishirini na manne kila siku ya juma. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia aidha kwa kutupigia simu, kutuma arafa au hata kutuandikia barua pepe. Pia tumetoa majibu kwa maswali yanayoulizwa mara kwa mara ili yakufae.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je, naweza kushinda hela kiasi gani nikitumia amana ya ziada ya ukaribisho?

Ushindi mkubwa zaidi ambao unaweza kuupata ukitumia ziada ya ukaribisho ni Tsh 50,000

Ni lazima nitumie ushindi kutoka kwa ziada kubashiri tena?

La. Upatapo ushindi unaweza kuutoa kama hela za kawaida katika akaunti yako.

Naweza kutumia hela kutoka kwa 20x Cashback kama amana?

Ndio. Pindi tu hela zinawekwa kwenye ya akaunti yako una uhuru wa kuzitumia.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles