25.9 C
Dar es Salaam
Monday, November 25, 2024

Contact us: [email protected]

Saa 13 za maajabu pacha kutenganishwa

Na VERONICA ROMWALD -DAR ES SALAAM

DAKTARI bingwa wa upasuaji wa watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Zaituni Bokhary amesimulia maisha mapya waliyoanza kuishi, pacha Anishia na Melanese Benatus, baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa.

Pacha hao wenye jinsi ya kike walizaliwa Januari 4, mwaka huu katika Kituo cha Afya cha Misenyi mkoani Kagera na kupewa rufaa hadi Muhimbili na baadae kupewa tena rufaa kwenda nchini Saudi Arabia kwa matibabu zaidi ya kibingwa.

Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa nchini Saudi Arabia, Dk. Bokhary alisema hali za pacha hao zinaendelea vizuri hivi sasa baada ya kutenganishwa.

“Walikuwa wameungana kifua, tumbo, nyonga na walikuwa na miguu mitatu, lakini ule wa tatu haukuwa na nguvu hivyo umeondolewa kabisa, kila mmoja amebaki na …

Kwa habari kamili jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles