26.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, January 8, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

RUBY AOMBA RADHI

STAA wa singo ya Na Yule, Hellen George ‘Ruby’ jana aliuomba radhi uongozi wake uliomng’arisha kwenye muziki baada ya kutofautiana nao mwaka mmoja uliopita.

Akizungumza kwenye mahojiano katika kituo cha redio, Clouds Fm, Ruby alikiri kuteleza na kutenda kosa lililofanya awe mbali na menejementi yake ya THT, hivyo kukosa malezi mazuri kwenye anga la muziki.

“Ilihitaji kuwa na ‘peace’, niliamua kuomba msamaha kwa Ruge Mutahaba. Sababu ni kama baba yangu, anaweza kuwa na mapungufu lakini siyo mengi kuzidi wema wake,” alisema Ruby kwenye mahojiano hayo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles