31.8 C
Dar es Salaam
Thursday, December 12, 2024

Contact us: [email protected]

Prince Kaybee aachia kitu ‘The 4th Republic’

Na Mwandishi Wetu

DJ na Mtayarishaji maarufu wa muziki Afrika Kusini, Prince Kaybee, ameachia albamu yake ya nne inayoitwa The 4th Republic.

Katika wimbo huo, Prince Kaybee ameshirikiana na mastaa kadhaa wa uigizaji walioshiriki kwenye nyimbo 24 tofauti, Prince Kaybee anaendelea kufanya vizuri kama mtayarishaji kwa kutengeneza kazi nzuri ustadi. Ebabayo, ndio wimbo uliomo kwenye albamu hiyo.

Albamu hiyo imetengenezwa katika mchanganyiko wa mahadhi tofauti kutoka nchini Kenya na lebo za Afrika Kusini – The Great, Lady Zamar, Kaylow, Afrobrotherz, Ngasii, Chymamusique na Rethabile, ambao kwa pamoja wamefanya makubwa.

Mwaka huu pekee, Prince Kaybee ametoa albamu ya kwanza, Better Days na kuwa DJ wa kwanza wa Afrika Kusini kutumbuiza kwenye mbio maarufu za Kilimanjaro Marathon, zilizofanyika mkoni Kilimajaro hapa nchini.

Aidha, wimbo wake wa mwaka 2019, ‘Fetch Your Life’ pia umetumika kama ‘Sound track’ kwenye filamu kubwa ya Coming 2 America.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles