26.5 C
Dar es Salaam
Tuesday, January 18, 2022

Prezzo awataka wasanii wapime HIV

prezzoNAIROBI, KENYA

RAPA maarufu nchini Kenya, CMB Prezzo, amewataka wasanii wenzake nchini humo wakapime HIV kwa ajili ya kujua afya zao.

Hilo limekuja baada ya kutambua majibu yake alipopima na kugundulika kwamba hana upungufu wa kinga mwilini.

“Najua kupima HIV sio kazi ndogo, lakini ni kitu kizuri kwa maisha ya sasa hasa kwa vijana ambao tunajua nini tunakifanya.

“Ni vizuri kwa wasanii kujitokeza kama mimi nilivyofanya, nashukuru Mungu majibu yangu mazuri, ila kilichobaki ni kujilinda,” aliandika Prezzo kwenye ukurasa wake wa Twitter.

 

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
174,926FollowersFollow
531,000SubscribersSubscribe

Latest Articles