HomeElimu na Teknolojia Elimu na TeknolojiaKitaifa Picha| Shule ya Feza yajivunia kufanya vizuri matokeo kidato cha Nne By Mtanzania Digital January 26, 2024 0 1116 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Wanafunzi wa Shule za Feza waliofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne 2023 kwa ufaulu wa daraja kwanza wakishangilia baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo jijini Dar es Salaam. Makamu Mkuu wa Shule za Feza anayeshughulikia taaluma, Shabani Mbonde akizungumza waandishi wa habari, Dar es Salaam leo Januari 26, 2024 kuhusu matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne kwa ufaulu wa daraja kwanza kwa wanafunzi 78 wa shule hiyo. Katikati ni Makamu Mkuu wa shule hiyo, Richard Mahina. Wanafunzi wa Shule za Feza waliofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne 2023 kwa ufaulu wa daraja kwanza wakishangilia baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo jijini Dar es Salaam. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleMiradi 6 ya uchimbaji madini yajadiliwaNext articleDk. Biteko akagua mitambo ya umeme ya New Pangani (MW 68) Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz Related Articles Uncategorized Benki ya Akiba yawatoa hofu wateja wake Kariakoo Uncategorized Waziri Simbachawene: Taasisi za umma zingatieni usalama na afya mahali pa kazi Elimu na Teknolojia DAS Mhagama atoa somo kwa watendaji LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Uncategorized Benki ya Akiba yawatoa hofu wateja wake Kariakoo Uncategorized Waziri Simbachawene: Taasisi za umma zingatieni usalama na afya mahali pa kazi Elimu na Teknolojia DAS Mhagama atoa somo kwa watendaji Biashara na Uchumi Mradi wa kufua umeme Rusumo kuzinduliwa Feb.2025 Michezo Kitaifa Mjerumani amrithi Gamondi Yanga Load more