Picha mbalimbali zikimuonyesha Msimamizi wa mitambo midogo ya kuchakata majitaka DAWASA Mhandisi Rose Edward, akielezea utendaji kazi wa mtambo huo uliopo kata ya Mburahati, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Faida zitokanazo na uchakataji Majitaka ni pamoja na uzalishaji wa gesi asili, upatikanaji wa mbolea pamoja na maji kwa ajili Kilimo.