23.6 C
Dar es Salaam
Saturday, May 18, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| Dk. Maboko aongoza watumishi TACAIDS mazishi ya Kihongo

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Program Maalum – TACAIDS.
Mazishi ya Kihongo yamefanyika Oktoba 20, 2022 Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la watu wanaoishi na VVU(NACOPHA), Deogratius Rutatwa akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Program Maalum – TACAIDS. Shughuli za mazishi zimefanyika Oktoba 20, 2022 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS,) Dk. Leonard Maboko akitoa salamu za pole kwa niaba ya Kamisheni na Menejimenti ya TACAIDS katika msiba wa Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Program Maalum – TACAIDS.
Sehemu ya waombolezaji.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles