24.5 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Picha Benki ya NMB yakabidhi vifaa kwa ajili ya NMB Marathon 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe (wa pili kulia), akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard kwa ajili ya NMB Marathon 2021 itakayofanyika Septemba 25 katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja wa uwajibikaji kwa Jamii (NMB CSR Manager) Lilian Kisamba na kushoto ni Meneja wa Biashara za Serikali NMB, Irene Masaki (Na Mpiga Picha Wetu).

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe (katikati) na Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard (wa pili kushoto), wakimsikiliza  msanii wa Singeli, Abdallah Mzee ‘Dulla Makabila’ wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa mkuu wa wilaya kwa ajili ya NMB Marathon 2021. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Meneja wa uwajibikaji kwa Jamii (NMB CSR Manager) Lilian Kisamba na Msanii wa Singeli Major Kunta (kwanza Kulia).

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles