22.8 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 22, 2024

Contact us: [email protected]

P-Square wanunua nyumba Atlanta

p squareATLANTA, MAREKANI

NYOTA wa muziki kutoka nchini Nigeria ambao wanaunda kundi la P-Square, Paul na Peter Okoye, wameonesha jeuri ya fedha baada ya kununua nyumba Atlanta, nchini Marekani.

Wasanii hao ambao wanatishia kwa utajiri barani Afrika, hiyo itakuwa ni nyumba yao ya tatu kuimiliki nchini Marekani.

Kupitia akaunti ya Instagram ya Paul, aliweka picha mbalimbali za nyumba hiyo na kuandika maneno ambayo yalisema: “Pongezi kwetu kwa kufanikisha zoezi la ununuzi wa nyumba nyingine, hii inatokana na kujituma kwetu,” alisema Paul.

Hata hivyo, wasanii hao wamewataka wasanii wenzao kujituma ili kuweza kutimiza ndoto zao katika muziki.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles