27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 4, 2022

Ommy Dimpoz: Narusha fedha, mikufu kuvutia mashabiki

dimpoz2NA RHOBI CHACHA
MKALI wa wimbo wa ‘Wanjera’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema hurusha baadhi ya vitu vyake vikiwemo mikufu ya dhahabu, fulana, kofia na fedha kwa mashabiki wake awapo jukwaani ili kuwashawishi waendelee kupenda muziki wake.
“Hakuna kitu ninachokipenda kama kurusha vitu vyangu mashabiki wangu nikiwa jukwaani hii inaonyesha jinsi gani nawapenda, lakini pia inaongeza burudani kwao huku wakiendelea kupenda shoo yangu na muziki wangu kwa ujumla,’’ alifafanua Dimpoz.
Aliongeza kwamba kufanya hivyo kunamuongezea mashabiki na ufuatiliaji wa muziki anaofanya na wengi wao humfuatilia ili kujua maisha yake kwa ujumla.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,673FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles