Octopizzo: Sitajibu ubaya kwa ubaya

0
773

octoMSANII wa Kenya, Octopizzo amesema hatorekodi wimbo wa kuponda wabaya wake kwa kuwa kuendeleza ubaya kwa ubaya ni kupoteza muda bure.

Mwana hip hop huyo wa Kenya alikuwa katika majibizano makali na wasanii wenzake wa hip hop nchini humo; King Kaka, Jones, Khaligraph na Juliani.

Katika mahojiano na redio USIU ya nchini humo, alisema anapotaka kusaka mkwanja ataendelea kuusaka na hatotumia muda wake kujibizana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here