28.7 C
Dar es Salaam
Friday, May 24, 2024

Contact us: [email protected]

Nyota wa Kimataifa kuchuana Tanzania Ladies Open

Sharifa Mmasi, Mtanzania Digital 

JUMLA ya wachezaji saba wa Kimataifa kutoka nchi tofauti, wanatarajiwa kushiriki mashindano ya wazi ya gofu ‘Tanzania Ladies Open’ yanayotarajia  kuanza  Oktoba 22-24, 2021 kwenye viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam.

Wachezaji hao ni Mercy Nyanchama na Mildred Malubi kutoka Kenya, Eva Magala wa Nigeria, Peace Kabasweka, Irene Nakalembe, Martha Babirye na Eva Magala  wanaowakilisha Uganda.

Kwa upande wa Tanzania, ni Madina Iddi  ambaye ametamba kuibuka kidedea katika mashindano hayo dhidi ya wapinzani wake.

“Nimejiandaa vema na niko fiti kuelekea Tanzania Ladies Open, mwaka huu Nitachukuwa ushindi kutokana na maandalizi niliyofanya,” ameeleza.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles