24.1 C
Dar es Salaam
Friday, October 22, 2021

NMB yadhamini kikao kazi Jeshi la Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan (kulia), akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha Biashara za Serikali wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo, ( Head of Government Business NMB) na Mkuu wa Kitengo cha wateja Binafsi Aikansia Muro (mwenye koti ya bluu na nywele fupi) mara baada ya kufungua Kikao Kazi cha Jeshi la Polisi cha Mwaka, kilichofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam jana, Benki ya NMB ikiwa mdhamini Mkuu wa kikao hicho. (Na Mpiga Picha Wetu).

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
162,740FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles