24.3 C
Dar es Salaam
Sunday, October 17, 2021

Nick Gordon amkumbuka Kristina

Gordon na KristinaGOEGIA, Marekani

IKIWA ni wiki ya pili tangu kuzikwa kwa Kristina Brown, aliyekuwa mpenzi wake, Nick Gordon, ameibuka na kutangaza kuendelea kumpenda mpenzi wake huyo.

Gordon alizuiwa kumzika mpenzi wake huyo na familia ya Kristina kutokana na kumtuhumu kuhusika na kifo cha Kristina.

“Najua siwezi kukuona tena duniani, lakini acha niseme kuwa nitaendelea kukupenda maishani mwangu, siwezi kusahau umoja wetu wakati upo hai, lakini najua utakuwa umetangulia mbele za haki.

“Kuna wakati nacheka sana nikiziona picha zetu pia kuna wakati nalia kutokana na picha hizo, nitaendelea kukuombea kwa kuwa nakupenda,” aliandika Gordon kupitia akaunti yake ya twitter.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
161,986FollowersFollow
521,000SubscribersSubscribe

Latest Articles