23.9 C
Dar es Salaam
Sunday, April 21, 2024

Contact us: [email protected]

NEC yatoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba rasmi itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva, ilieza kuwa uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani unatarajia kufanyika Agosti 21, 2015, na kampeni za uchaguzi kwa wagombea hao zinatarajiwa kuanza Agosti 22 hadi Oktoba 24 mwaka huu.
Imesema siku ya kura kwa wananchi wote itakuwa Oktoba 25 mwaka huu na NEC imewataka wananchi wajitokeze na kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles