25.6 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Ne-Yo: Naipenda Nairobi

Ne-yoNEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Shaffer Smith ‘Ne-Yo’ ameonyesha kufurahiwa na mji wa Nairobi, nchini Kenya, baada ya kuishi huko kwa muda alipokuwa katika shughuli zake za kimuziki.

Neyo alizungumzia mapokezi aliyopata katika mji huo akajikuta akiweka wazi kwamba ataendelea kuupenda mji huo na nchi yake kwa ujumla.

Pia msanii huyo aliendelea kuonyesha hisia za mapenzi yake kwa mji huo kwa kuvaa fulana
iliyoandikwa ‘Naipenda Nairobi’.

Mbali na kuvaa T-shirt hiyo, pia alisema: “Ukiwa unawapenda mashabiki wako wanatakiwa wajue, nawakubali sana mashabiki wangu kutoka Kenya,” alisema

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles