29 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 31, 2023

Contact us: [email protected]

Mwakinyo uso kwa uso na Katembo, wapima uzito

Na Mwandishi Wtu, Mtanzania Digital

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lady in Red Boxing Promotion, Sophia Mwakagenda (katikati) akiwatambukisha mabondia, Hassan Mwakinyo (kushoto) na Kuvesa Katembo baada ya kupima uzito katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Pambano hilo lisilokuwa la ubingwa ni kwa ajili ya kununua taulo za kike 40,000 kwa wanafunzi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

Bondia Hassan Mwakinyo akipima uzito kwa ajili ya pambano lake na Kuvena Katembo kutoka Afrika ya Kusini, litakalofanyika kesho Aprili 23, katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Pambano hilo lisilokuwa la ubingwa ni kwa ajili ya kununua taulo za kike 40,000 kwa wanafunzi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,212FollowersFollow
567,000SubscribersSubscribe

Latest Articles