24.4 C
Dar es Salaam
Monday, November 28, 2022

Contact us: [email protected]

MVUTANO MKALI KESI YA SUGU MAHAKANI


Na PENDO FUNDISHA, MBEYA -

MVUTANO mkali umeibuka katika kesi ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu Sugu (Chadema) na Katibu Kanda ya Nyasa wa chama hicho, Emmanuel Masonga, baada ya kumkataa hakimu anayesikiliza shauri hilo.

Sugu alidai kuwa hajawahi kuona hakimu mwenye upendeleo kama Michael Mteite anayesikiliza kesi yake.

Washtakiwa hao jana wakimkataa hakimu huyo, wakisema hawana imani naye, huku wakiainisha sababu sita za kufikia uamuzi wao huo.

Uamuzi huo waliutoa baada ya wakili wao, Boniface Mwabukusi, kuiomba mahakama hiyo kuwasikiliza wateja wake ambao walikuwa na neno la kuiambia mahakama.

Baada ya kupewa nafasi, mshtakiwa wa kwanza Sugu, aliomba kuitaharifu mahakama hiyo kwamba …………………..

kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,405FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles