KIGWANGALLA KUSHTAKI JESHI LA POLISI KWA JPM

0
694

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA -

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla, amelishtumu Jeshi la Polisi kwa kile alichosema ni kushindwa kuwakamata watu wanne aliodai wamehusika na mauaji ya Mkurugenzi wa Palm Foundation, Wayne Lotter, raia wa Afrika Kusini.

Mbali na tuhuma hizo kwa polisi, Dk. Kigwangalla pia amedai kushangazwa na hatua ya vyombo vinavyohusika kushindwa kumkamata aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, baada ya kueleza bungeni kuwa alitumia ofisi vibaya.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Kigwangalla pia bila kutaja majina, ametuhumu Waziri Mkuu mstaafu ……………………

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya MTANZANIA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here