MUHIMBILI KUANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA VIRUSI VYA HOMA YA INI

0
904

mnh-welcome-sign-640x375

Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kuanza kufanya uchunguzi wa virusi vya homa ya ini (hepatitis B) na kutoa tiba kwa kutumia dawa ya Tenofovir.

hep-b

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ini na Matumbo, John Rwegasha amesema hayo hii leo alipozungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili.

Amesema ugonjwa wa homa ya ini ni hatari na kwamba maambukizi yake ysnashabiana na yale ya virusi vya ukimwi

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here