24.9 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 22, 2024

Contact us: [email protected]

Moshadee wa Sweden atambulisha ‘Golo’

Stockholm, Sweden

Mfalme wa Afrobeat nchini Sweden, Moshadee Fyp, amewaomba mashabiki wa muziki huo duniani kote kuipokea video yake mpya, Golo.

Moshadee amesema wimbo huo wenye mahadhi ya Afrobeat umelenga kuwapa raha zaidi mashabiki na wapenda burudani wote wanaopenda muziki huo.

“Nikiwa kama King wa Afrobeat hapa Sweden lazima nionyeshe mfano, unaweza kuona kupitia Golo ambayo sasa hivi ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube jinsi nilivyofanya vizuri naamini mashabiki watafurahia,” amesema Moshadee.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles