Monalisa awashtua waigizaji kuchangamkia AWAFFEST

0
888

Jeremia Ernest

KUELEKEA msimu mwingine wa Tamasha la Sanaa na Filamu la Wanawake wa Kiafrika (AWAFFEST 2020), mwigizaji mkongwe nchini Yvonne Cherry ‘Monalisa’, amewataka wasanii wakike kutumia fursa hiyo kwa kupeleka kazi zao zikashindane.

Akizungumza na MTANZANIA, Monalisa alisema milango ipo wazi kuanzia mwezi huu mpaka Novemba kwa waigizaji na waandaaji wa filamu wanawake kupekeleka kazi zao.

“Niwaombe wanawake wenzangu kutumia fursa hii ya kujitangaza katika tamasha hili kubwa ili kutangaza kazi zao,” alisema Monalisa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here