MJI WA BRIDGETOWN KUITWA RIHANA

0
966

LOS ANGELES, MAREKANI


MWANAMUZI wa Pop Marekani, Robyn Rihanna maarufu Rihana, ameishukuru jamii  ya mji wa  Bridgetown, uliopo kisiwani Barbados Uingereza, baada ya kuamua jina lake litumike kuita mtaa aliokulia ndani  ya mji huo.

Rihana alikulia katika mji huo mkuu wa Barbados na amekuwa akiheshimika kutokana na mafanikio yake ya muziki hivyo kuamua jina la mtaa aliokulia kubadilishwa na kuitwa ‘Rihana Drive’.

Uamuzi huo ulitangazwa Oktoba mwaka huu ambao awali mji huo ulitambulika kama ‘Westbury New Road’ na baadaye kuitwa ‘Local Superstar’ kabla ya wiki iliyopita Serikali ya jiji hilo kuamua rasmi jina la Rihana kutumika kama jina jipya la mtaa huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here