27.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Miss Sinza yaanza kambi

Miss Sinza 2013
Miss Sinza 2013

NA THERESIA GASPER,

WAREMBO wanaoshiriki mashindano ya Miss Sinza juzi walianza kambi rasmi katika Hoteli ya Den France, Dar es Salaam, kujiandaa na shindano linalotarajiwa kufanyika Julai 29 mwaka huu.

Akizungumza na MTANZANIA jana, mratibu wa mashindano hayo, Nasib Mahinya, alisema mshindi atayepatikana atapata fursa ya kushiriki Miss Kindondoni na baadaye kwenda Miss Tanzania.

“Tumeanza mazoezi ili kuwaandaa kuwa fiti huku tukiwa bado tunaendelea kuwapokea washiriki wengine wanaohitaji kwa sababu nafasi bado zipo,” alisema.

Baadhi ya wadhamini wa mashindano hayo  ni New Habari Limited, Mabibo Bia, Hoteli ya Den France, Clouds Media na Big Solution.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles