26.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 21, 2024

Contact us: [email protected]

 Milan Derby Odds Bomba Meridianbet.

Ukiachana na burudani za soka ulaya, utamu mwingine utakuwa kwenye Milan Derby kati ya AC Milan dhidi ya Inter Milan ni mashindano ya Supercoppa Italiana. Lakini pia kuna mechi za Copa del Rey, Coppa Italia na EPL zote zitaendelea tena wiki hii, kumbuka Odds kubwa unazipata Meridianbet.

Ukubwa wa mechi hii sio tu kwa wingi wa mashabiki wanaoingia uwanjani, habari nyingi kuandikwa vyote havitoshi kubwa Zaidi ni kwamba ukubwa wa mechi hii ya Milan Derby ina Odds bomba na kubwa Meridianbet, machaguo ya kubashiri nayo ni mengi ushindwe wewe tu. AC Milan ana 2.79 ushindi, sare ina 3.23 na ushindi kwa Inter ni 2.45. kila timu ina nafasi ya kushinda, weka ubashiri wako.

Mechi za Copa del Rey siku ya Alhamis ni kati ya Sporting Gijon vs Valencia ushindi kwenye mechi huu unanogeshwa na machaguo kibao ya Meridianbet, odds bomba na kubwa za ushindi Valencia 2.11 vs 3.18 kwa Sporting Gijon. Atletico Madrid watakuwa wagane wa Levante kwenye dimba la Estadi Ciutat de València katika mji wa Valencia. Bashiri na Mabingwa sasa.

EPL itaendeleza moto wake, wakiwa wamewafunga wapinzani wao Manchester united itahitaji kupunguza idadi ya alama ili kuwania ubingwa wa epl, ni Man utd vs Crystal Palace- United yuko ugenini. Huku kwingine ni Man City watahitaji kufuta machozi ya kufungwa na mtani wao kwenye mechi yao dhidi ya Tottenham, Odds ziko hivi City 1.39, Tottenham 7.05 na sare ina 4.90

Ushindwe wewe tu kuvuna mkwanja mrefu kutoka meridianbet, wiki hii kuna mechi kubwa ambazo kukupa ushindi ni kawaida sana, Juventus atakipiga na Monza kwenye Coppa Italia, Lazio watakuwa wenyeji wa Bologna.

Funga wiki ni pale ambapo wachezaji wakubwa duniani Cristiano Ronaldo na Lionel Messi huenda wakakutana uwanjani, ni mechi ya kirafiki kati ya timu mbili za Saudia AL-Nassr na Al Hilal watakipiga dhidi ya PSG.

Copa del Rey mechi kubwa ni Barcelona ya Xavi watakuwa na kibarua kingine ugenini dhidi ya Ceuta, huku pia Real Madrid watakuwa na mchezo mgumu ugenini dhidi ya Villarreal. Odds ni bomba tena kubwa Meridianbet weka ubashiri wako.

N.B Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni, michezo kama Aviator, TiTAN Dice, Roulette, Fruit Parts, Poker na Mingine mingi. Kingine kikubwa Ukipakua APP ya Meridianbet kisha ukajiunga kwenye APP na Tovuti kisha ukaweka salio unapewa Bonasi ya Ukaribisho. Upewe nini kingine, Jiunge na Meridianbet Ushindi Kiganjani mwako.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles