26.7 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

MICHUANO YA TIMU ZA TAIFA KUTIMUA VUMBI WIKI HII

Changamkia Odds za Kibingwa kupitia Meridianbet!!

Tukiwa katika mapumziko kwenye mchezo wa soka ngazi ya vilabu. Mashindano mbalimbali ya timu za taifa yanaendelea wiki hii.

Kwenye Afcon Jumatano hii ni Guinea vs Mali. Soka la Afrika linakuwa siku baada ya siku, zinapokutana timu hizi tegemea upinzani wa kila aina. Kupitia Meridianbet, Mali imepatiwa Odds ya 3.33

Kwenye kuisaka tiketi ya kuicheza kombe la dunia, Serbia atachuana na Ireland. Nani ataibuka kidedea baada ya dakika 90, kupitia Meridianbet, Serbia imepatiwa Odds ya 1.78

Alhamis itakuwa ni zamu ya Hungary vs Poland. Hakika tiketi ya kucheza kombe la Dunia haijawahi kupatikana kirahisi. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa Poland.

Afrika itasimama kwa muda pale ambapo Afrika Kusini watakutana na Ghana. Ukiachilia mbali ukubwa wa kiuchumi kwa nchi hizi, kwenye soka ni miongoni mwa mataifa makubwa barani Afrika. Timu zote zimewahi kucheza kombe la Dunia na sasa zitakutana kwenye AfCon Alhamisi hii.

Kupitia Meridianbet, Ghana amepatiwa Odds ya 3.33.

Ijumaa hii itakuwa zamu ya Niger vs Ivory Coast. Umwamba wa Ivory Coast haujashuka licha ya wachezaji kama Didie Drogba na Solomon Kalou kustaafu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 4.70 kwa Niger.

Upande wa pili, Congo watapambana na Senegal. Hapatoshi!! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 4.21 kwa Congo kwenye mchezo huu.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles