Mganda amshinda Diamond tuzo ya Nigeria

0
704

NEW kenzoYORK, MAREKANI

ALIYEKUWA mshindani mkubwa wa mkali wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii kutoka Uganda, Eddie Kenzo, ndiye aliyeibuka mshindi katika tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) kipengele cha ‘African Artist of The Year’ walichokuwa wakishindania.

Mganda huyo alishinda tuzo hiyo katika kipengele hicho maalumu kwa wasanii wasio Wanigeria, Septemba 6 huko New York, Marekani ambapo tuzo hizo zilitolewa.

Licha ya Diamond kuwania kipengel hicho, wengine waliokuwa wakiwania ni Sauti Sol kutoka Kenya, Sarkodie kutoka Ghana na Stoneboy wa Ghana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here