24.4 C
Dar es Salaam
Wednesday, June 19, 2024

Contact us: [email protected]

MGAHAWA WASHAMBULIWA BURKINA FASO

Watu wanaodhaniwa kuwa ni wapiganaji wenye msimamo mkali wameshambulia mgahawa mmoja katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wamesema watu watatu wenye silaha walishambulia wateja waliokuwa wamekaa nje ya Mgahawa huo.

Lakini pia taarifa kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP zinasema, watu wawili wamejeruhiwa katikatukio hilo.

Hata hivyo habari zinasema polisi na wanajeshi walipambana na watu hao wenye silaha, huku milio ya risasi ikisikika mara kwa mara.

Kwa upnade wmingine, Januari mwaka jana kulitokea shambulio kama hilo karibu na mgahawa huo na kusababisha vifo vya watu 30.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles