20.9 C
Dar es Salaam
Saturday, June 15, 2024

Contact us: [email protected]

Mfalme wa kubeti Meridianbet apiga TZS 20m

Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja, elfu nne na mia mbili tu. (20,104,200/=). Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Mshindi huyo ambaye alibeti na Meridianbet na kuweka dau la shilingi 5,000/= (elfu tano tu) na kuweka mechi 15 tu, ambazo alichanganya kutoka Ligi mbalimbali ikiwemo Ligi ya Uingereza, Ligi ya Uhispania, Ligi ya Ufaransa, Ligi ya Italia na zingine nyingi. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Kwenye kuchagua machaguo wala hakuweka machaguo mengi, aliweka Ushindi wa moja kwa moja pamoja na magoli. Kwenye ushindi wa kawaida alizipa timu kama Manchester United, Barcelona, Lille, Reims, Young Boys, Juventus, Atletico Madrid, SSC Bari, Valur Reykjavik, KA Akureyri pamoja na Nantes. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Huku chaguo lingine la magoli alizipa timu kama Ajax ambaye apate mabao kuanzia moja hadi matatu, Napoli hivyo hivyo, Thor Akureyri akiweka mabao yaanzie mawili hadi sita, Manchester City nae apate mabao kuanzia moja hadi matatu. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

Mechi hizo zote zilikuwa ni za jana na mechi ya mwisho ilikuwa ni ya LA LIGA ambayo kwa hakika ndiyo ambayo Mfalme huyo mpya wa kubeti na Meridianbet alikuwa akiisubiri na hatimaye ikampatia ushindi wa Milioni Ishirini. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Meridianbet ndio Kampuni nambari moja nchini Tanzania ambayo inakupa machaguo zaidi ya 1000 kwenye kubashiri ukiwa una Intaneti au hauna, Ukiwa na Smartphone, au kitochi bado unaweza kubeti mahali popote wakati wowote. Kwa kutumia USSD PIGA *149*10#

MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles