33.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Matukio kwa Picha DC Kigamboni afungua wiki ya huduma kwa wateja

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sara Msafiri ameshiriki wiki ya huduma kwa wateja Kigamboni.

DC Msafiri ametembelea na kupata maelezo ya shughuli mbalimbali katika banda la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kuhimiza wananchi kufika kwa wingi katika maadhimisho hayo yanayotarajiwa kufikia ukomo Ijumaa ya Februari 5.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles