Matukio kwa picha: DAWASA kazini

0
457

Fundi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Vicent Attanasi, akibadilisha bomba la inchi 4 na kuweka bomba la Inchi 8 eneo la Mlimani city ili kuongeza wingi wa maji yanayopatikana eneo hilo.

DAWASA inaendelea kuboresha huduma ya maji kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na Pwani ili kuhakikisha wananchi wanapata ya uhakika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here