26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Matukio kwa picha: Benki ya NMB kwenye maonesho ya wiki ya sheria 2021


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (kulia) akipita mbele ya banda la maonesho la Benki ya NMB alipokuwa akikagua mabanda ya kwenye maonesho ya wiki ya sheria mwaka 2021 na maadhimisho ya  miaka 100 ya Mahakama Kuu ya Tanzania yaliyoendelea  jana viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Makamu wa Rais alifungua rasmi maonyesho na NMB ni miongoni mwa benki washiriki wa maonyesho hayo Kitaifa.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki matembezi kwenye maadhmisho ya wiki ya sheria Kitaifa na maonyesho ya miaka 100 ya Mahakama Kuu ya Tanzania yaliyofanyika jana Jijini Dodoma, Nmb ni miongoni mwa Benki zinazoshiriki maonyesho hyao yanayofanyika Kitaifa Jijini Dodoma.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles