26.7 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Maofisa tra watoa elimu ya ets maonesho ya nanenane jijini Mbeya

Maafisa mradi wa ETS kutoka TRA kutoka kushoto ni Ruekaza Rwegoshora, Lewis Rwenyagira, pamoja na mabalozi wa ETS/Hakiki stempu wakitoa ufafanuzi kwa wanahabari jinsi mfumo wa kielektroniki wa kuhakiki stempu unavyofanya kazi katika viwanja vya maonesho ya kilimo Nanenane yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya mwaka huu.

Balozi wa ETS kutoka TRA akimsaidia mfanyabiashara kupakua app ya Hakiki stempu kwa ajili ya kuhakiki ubora wa bidhaa, katika viwanja vya maonesho ya kitaifa ya kilimo Nanenane jijini Mbeya.

Maofisa wa Tra na mabalozi wa ETS wakitoa elimu wa wafanyabiashara wa vinywaji waliotembelea viwanja vya nanenane jinsi ya kupakua na kutumia app ya hakiki stempu kwa njia ya kielektroniki (ETS).

Sikukuu za Kitaifa za maonesho ya nanenane zimefanyika jijini Mbeya wiki iliyopita kwa mwaka huu wa 2022 na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles