Na Mwandishi Wetu - Mara
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mara, kumkamata na kumhoji Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Musoma (Muwasa), Gantala Said, kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za mradi wa maji wilayani Bunda.
Mbali na mkurugenzi huyo, pia Takukuru inawashikilia wakandarasi wa Kampuni ya Nyakirang’anyi, wanaojenga mradi huo unaotoa maji kutoka Ziwa Victoria katika eneo la Nyabehu hadi Bunda Mjini.
Waliokamatwa ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Mauza Mmangi, Mhasibu Amon Gideon na viongozi wa kampuni nyingine ya ujenzi ya Fortrss, Juvenari Chirianga na Ephraim Mpeko ambao pia wameshiriki ujenzi wa mradi huo.
Majaliwa amefikia uamuzi huo juzi jioni baada ya Mauza kushindwa kueleza …………………..
Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya MTANZANIA.