25.7 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

MAJALIWA AMKABIDHI KIGOGO MUWASA KWA TAKUKURU

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Musoma (Muwasa), Mhandisi Said Gantala (kushoto), akitoka ukumbini mjini Bunda mkoani Mara juzi, baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani), kuamuru akamatwe na ahojiwe na Takukuru. Kulia ni Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Mara, Alex Kuhanda.

 

Na Mwandishi Wetu - Mara

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mara, kumkamata na kumhoji Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Musoma (Muwasa), Gantala Said, kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za mradi wa maji wilayani Bunda.

Mbali na mkurugenzi huyo, pia Takukuru inawashikilia wakandarasi wa Kampuni ya Nyakirang’anyi, wanaojenga mradi huo unaotoa maji kutoka Ziwa Victoria katika eneo la Nyabehu hadi Bunda Mjini.

Waliokamatwa ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Mauza Mmangi, Mhasibu Amon Gideon na viongozi wa kampuni nyingine ya ujenzi ya Fortrss, Juvenari Chirianga na Ephraim Mpeko ambao pia wameshiriki ujenzi wa mradi huo.

Majaliwa amefikia uamuzi huo juzi jioni  baada ya Mauza kushindwa kueleza …………………..

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles