25.6 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Majaliwa achukizwa ujenzi majengo chini ya viwango

Amina Omari – Tanga

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja mmiliki Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), pamoja na mkandarasi aliyejenga mradi wa kituo cha huduma za pamoja mpakani Horohoro mkoani Tanga na cha Sirari mkoani Mara wafike ofisini kwake Jijini Dodoma March 11, kutokana na majengo hayo kujengwa chini ya kiwango.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo baada ya kutoridhika na ujenzi wa mradi huo wa mpakani Horohoro mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya siku ya pili mkoani humo.

Amesema kuwa haridhishwi na ujenzi wa chini ya viwango wa majengo ya TRA .

“Miradi hii inajengwa kwa kodi za watanzania hivyo ni lazima hatua zichukuliwe haiwezekani jengo kuvuja katika kipindi  kifupi tu toka kuanza kutumika.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles