27 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Machaguo Spesho na ODDS Kubwa Kombe la Dunia.

Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Jumanne kutakuwa na mechi 4 za kundi C na D, Argentina vs Saudi Arabia, Mexico vs Poland, Denmark vs Tunisia, na France vs Australia. Kesho Jumatano kundi E na F, Germany vs Japani, Spain vs Costa, Morocco vs Croatia na Belgium vs Canada. Beti sasa na Meridianbet kwa kuchagua ushindi wako na machaguo spesho kwaajili yako.

                                                           Jumanne 22 Novemba 2022

Katika kundi C, Lionel Messi ataiongoza timu yake ya taifa ya Argentina dhidi ya wazalishaji wa mafuta na tende, Saudi Arabia, ni mechi ya mapema sana hii, unawaza ni sehemu gani utapata machaguo mazuri ya mechi hii! Meridianbet wana machaguo spesho kwa mechi hizi.

Unaweza kubeti goli la kwanza ashinde nani, Meridianbet wameweka ODDS ya 3.65 kwa Messi akishinda goli la kwanza, huku Angel De Maria kapewa 8.60 na Lautaro Martinez ana 5.20, kwa upande wa Saudia, Mchezaji Al Shahrani Yasir ana ODDS ya 50 kama akishinda bao la kwanza.

Mechi ya pili ya kundi hilo ni kati ya Mexico na Poland ya Robert Lewandowski, mbali na goli la kwanza nani afunge na timu gani iwe ya mwisho kufunga, ukiona huweza unaweza kubeti idadi ya kona zitakuwa ngapi kwenye mchezo huo. Mexico akiwa na chini ya kona 8 ina 1.98 huku Poland ana 1.78. Na Lewandowski ana ODDS 5.20 afunge goli la mwisho.

Denmark na Tunisia hawana jambo dogo, Denmark yenye Nahodha wao Christen Eriksen watakuwa na kibarua cha kutafuta alama tatu kwa Tunisia, huku Ufaransa mabingwa watetezi watakipiga na Australia. ODDS kubwa zipo kwenye mechi hii ni za aina nyingi.

Jumatano 23 Novemba 2022

Ni vita nyingine ya uwanjani kundi E, F mechi ni mbili tu zitakuwa zinapigwa kwenye viwanja tofauti huko Qatar. Mabingwa wa mwaka 2014 watakipiga na Japan. Machaguo spesho yapo kwaajili yako. Mbali na ODDS 35 alizopewa kama atafunga goli la kwanza pia Muller endapo atatoa pasi ya goli ana ODDS ya 4.00. Beti sasa na Mabingwa.

Hispania nae atakuwa na kibarua kingine cha kuzisaka alama tatu mbele ya Costa Rica ambao nao wanazihitaji ili kujiweka sehemu nzuri ya kundi. Machaguo spesho ya Meridianbet kwenye mechi hii, na Ile ya Morocco dhidi ya Croatia ambao fainali za mwisho walifika hatua ya fainali na kufungwa na Ufaransa. Safari hii endapo atafika Nusu fainali Meridianbet wamempa ODDS kubwa ya 5.00. Bonyeza hapa kuona machaguo spesho ya kila timu.

Ubelgiji yenye Kelvin De Bruyne, Romeo Lukaku, Torgan Hazard na kaka yake Edern Hazard ni miongoni mwa nyota watakakuwa na jukumu la kuipeperusha vyema bendera ya Ubelgiji watakapokipiga na Canada. Mbungi haitakuwa nyepesi kiivo ukizingatia Canada pia wanazitaka alama tatu. Meridianbet wametoa machaguo spesho kwa ajili ya mechi hii, Bofya hapa kuona.

Sio hivyo tu, bali Meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni ambazo ni maalum kwa ajili yako Mfalme, Jikadilie kiwango chako cha ushindi kwenye mchezo wa Roulette na Poker au kuwa Rubani wa Maisha yako kwenye mchezo wa Aviator.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles