26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Laurence Badibe aiweka wazi ‘Libala’

Toowoomba, Australia

Mwimbaji wa Injili anayefanya vizuri nchini Australia, Laurence Badibe, ameweka wazi kuwa wimbo wake mpya, Libala umebeba ujumbe mzuri kuhusu masuala ya ndoa.

Badibe, amesema anashukuru wapenzi wa muziki huo kwa mapokezi makubwa ya Libala ambapo tangu ameachia video ya wimbo huo, watu wamekuwa wakiutumia kwa kuucheza kwenye harusi mbalimbali.

“Libala maana yake ni ndoa, ni wimbo mzuri wa kuburudisha kwenye shughuli za harusi ndio maana tangu umetoka umepata mapokezi makubwa. Video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube hivyo naomba sapoti kwa mashabiki wa hapo Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla,” amesema Laurence Badibe.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles