Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Wasia Mushi, akifungua Warsha ya mafunzo ya kibiashara kwa wateja wa biashara za kati (SME) wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.