Koscielny, Kante wawindwa na United

Arsenal-v-Leicester-CityMANCHESTER, ENGLAND

INADAIWA kwamba ujio wa kocha wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho katika klabu ya Manchester United, kunaweza kuwapa nafasi wachezaji wawili raia wa Ufaransa, Laurent Koscielny ambaye ni beki wa Arsenal pamoja na kiungo wa Leicester City, N’Golo Kante.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here