KOREA KASKAZINI YATAKA USHIRIKIANO

0
791

PYONGYANG, KOREA KASKAZINI


KOREA Kaskazini imetoa tangazo lililowalenga Wakorea wote walioko ndani na nje, ikitoa wito wa kuongeza juhudi za kuungana upya kwa Korea huru.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), Serikali mjini Pyongyang imewataka Wakorea kuboresha mahusiano kati ya Kaskazini na Kusini, baada ya mkutano wa Serikali na vyama vya kisiasa.

Wakorea Kaskazini pia wamehamasishwa kufanya safari za kwenda Korea Kusini na kuendeleza uhusiano wa kirafiki baina ya nchi hizo mbili kwa hiari bila kuingiliwa na nchi nyingine.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here