25.5 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

KMC yajichimbia Morogoro

Na Judith Siaga, TUDARCo

Timu ya soka ya Manispaa ya Kinondoni, KMC imeanza kambi rasmi leo Agosti 26, kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara mkoani Morogoro.

Ofisa Habari KMC, Christina Mwagala amesema  kambi hiyo itakuwa ya siku 21 ikihusisha michezo ya kirafiki.

Christina amesema kutakuwa na programu  mbalimbali za mazoezi ili kufanya kikosi chao kiwe  vizuri msimu wa 2021/2022.

Kuhusu usajili amesema KMC ilikuwa inafanya  kimya kimya, kwa sasa wamefikia katika hatua za mwisho na siku yoyote watawatangaza  wachezaji ambao  wamewasajili.

Amewaomba mashabiki wa timu hiyo na kuwatoa hofu kuwa wamesajili wachezaji  wazuri na wapinzani  wajiandae.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles