22.5 C
Dar es Salaam
Saturday, June 22, 2024

Contact us: [email protected]

KINGUNGE ALIREJEA KATOLIKI KABLA YA MAUTI


Na WAANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

WAKATI watu wengi wakiwa na shauku ya kufahamu namna ambavyo mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, atakavyozikwa kutokana na wakati wa uhai wake kutokuwa mfuasi wa dini yoyote, imeelezwa kuwa taratibu zote za kidini zitafuatwa.

Kingunge (85) ambaye alifariki juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa baada ya kushambuliwa na mbwa wake Desemba 22, mwaka jana, kutokana na kutokuwa mfuasi wa dini yoyote wakati wa uhai wake, alipokuwa akiteuliwa katika nyadhifa mbalimbali ambazo zinahitaji kiapo, alikuwa akitumia Katiba kuapa.

Staili yake hiyo ilionekana kugusa hisia za watu na kila alipokuwa akiapa aligeuka gumzo.

Kingunge mwenyewe aliwahi kukaririwa akisema kuwa hajawahi kuamini kwamba hakuna ……

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles