KENYATTA KUAPISHWA WIKI IJAYO

0
708

NAIROBI, KENYA

RAIS Uhuru Kenyatta ataapishwa Jumanne ijayo kuhudumu kwa kipindi cha pili na tayari mipango ya kumwapisha imeanza kwenye Uwanja wa Michezo wa Kasarani.

Aliyekuwa Seneta wa Machakos Johnson Muthama aliliambia Gazeti la The Star kuwa wanaendelea na mipango ya kumwapisha Odinga.

NASA imekuwa ikiendeleza juhudi za kuanzisha mabunge ya wananchi katika kaunti inazoungwa mkono, ambapo 11 tayari yamepitisha muswada wa kuanzisha mabunge hayo.

Aidha viongozi wa NASA wamekuwa wakitisha kuongoza ngome zake kujitenga na Kenya na kuanzisha taifa  huru, Jamhuri ya Watu wa Kenya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here